BONGO FLEVA MUSIC FACTSKatikati ya mwaka 2017 nilipata nafasi ya kufanya kazi na tovuti ya Burudani inayosomwa zaidi nchini Tanzania, Bongo5. com ambapo nilijijengea uwezo mkubwa kwa upande wa Uandishi wa Habari za Burudani. Baada ya uchunguzi uliodumu kwa kipindi cha mwaka mmoja, nimeweza kuja na Bongo Fleva Music Facts na kuwa Mwandishi wa kwanza Tanzania kufanya hivyo. Kupitia Bongo Fleva Music Facts nakuhakikishia utapata kujua mambo ya ndani zaidi kutoka kwenye muziki
Shopping security
Each payment you make on thelockerguy is secured with strict SSL encryption and PCI DSS data protection protocols